banalunda
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 231
- 67
Wasalaam wakuu!
Nahitaji kubadilishana gari na mtu mwenye uhitaji huo, mimi nina;
Toyota Brevis 2002
Mileage 120,000
Colour: silver
Insuarance comprehensive
imelipiwa kila kitu
Nahitaji kubadilishana na toyota harier ya 2002 na nitaongeza pesa kidogo kilingana na makubaliano na mhusika.
Nikitulia naweka picha wakuu...