Kwa wale wataalam naomba msaada. Nina gari yangu aina ya mitsubishi RVR ambayo nimeipark kwa muda mrefu kutokana na matatizo yake ya gear box. Kuna mtu alishawahi kunidokeza kuwa inawezekana kubadilisha engine/gearbox na kuweka nyingine ya Toyota. Ni siku kiasi zimepita na zile details zimenipotea kidogo. Hivyo basi nakuja hapa jamvini kuuliza kama kuna yeyote mwenye ujuzi au habari kuhusu ubadilishaji huo? je kama inawezekana, engine hizo na gearbox zinapatikana wapi na kwa bei gani?
Natanguliza shukrani.
Mkuu inawezekana kabisa,nunua engine complete ya Toyota Corolla Model Ae91 au Ae100 hizo zipo mara mbili ambazo ni 4A-FE na 5A-FE,hiyo ya kwanza ndo nzuri zaidi mana ni economic nadhan itakufaa
Mkuu Dingswayo kupunguza hizo cost za kununua gearbox mpya na kuifix kwa nn usitafute mkebe mwingine ukauweka barabarani kaka?
Sasa hv mikebe mingi sana na bei ziko mwake hazina noma sana.
Au bado una hamu na RVR?
Ushauri tu mkuu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Na amuulizie jamaa mmoja anitwa Kiokote...nilikuwa na contacts zake ila nimezipoteza
Watu8 na wewe upo kwenye ule mtandao nn..???
mtandao gani mkuu?
Si ule wa power window na side mirror mkuu..!!!!!!!!