Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,930
Kwa wale wataalam naomba msaada. Nina gari yangu aina ya mitsubishi RVR ambayo nimeipark kwa muda mrefu kutokana na matatizo yake ya gear box. Kuna mtu alishawahi kunidokeza kuwa inawezekana kubadilisha engine/gearbox na kuweka nyingine ya Toyota. Ni siku kiasi zimepita na zile details zimenipotea kidogo. Hivyo basi nakuja hapa jamvini kuuliza kama kuna yeyote mwenye ujuzi au habari kuhusu ubadilishaji huo? je kama inawezekana, engine hizo na gearbox zinapatikana wapi na kwa bei gani?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.