Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,391 Mar 3, 2016 #21 Kama umekosa haya video youtube basi ujue huna jinsi
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,391 Mar 3, 2016 #22 cyber ghost said: Hii simu ni jipu kwa kweli Click to expand... Ndio maana ikaitwa J1 walimaanisha Jipu 1
cyber ghost said: Hii simu ni jipu kwa kweli Click to expand... Ndio maana ikaitwa J1 walimaanisha Jipu 1
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Mar 3, 2016 #23 Nokia83 said: Ndio maana ikaitwa J1 walimaanisha Jipu 1 Click to expand...
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Mar 3, 2016 #24 Linamo said: Habari Jf Naomba kujua namna ya kubadili storage kwenye simu yangu toka internal storage kwenda extenal storage (SD card). Click to expand... nilikujib kwenye thread yangu sijui uliona
Linamo said: Habari Jf Naomba kujua namna ya kubadili storage kwenye simu yangu toka internal storage kwenda extenal storage (SD card). Click to expand... nilikujib kwenye thread yangu sijui uliona
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,974 Reaction score 24,504 Mar 4, 2016 Thread starter #25 liljustine21 said: nilikujib kwenye thread yangu sijui uliona Click to expand... Niliona mkuu asante nimefanya hivyo lakini bado kuna tatizo
liljustine21 said: nilikujib kwenye thread yangu sijui uliona Click to expand... Niliona mkuu asante nimefanya hivyo lakini bado kuna tatizo
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Mar 4, 2016 #26 Linamo said: Niliona mkuu asante nimefanya hivyo lakini bado kuna tatizo Click to expand... duh ni bahati sijatumia ioo sim ila ningejua
Linamo said: Niliona mkuu asante nimefanya hivyo lakini bado kuna tatizo Click to expand... duh ni bahati sijatumia ioo sim ila ningejua
ze kokuyo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 7,476 Reaction score 9,654 Mar 4, 2016 #27 Hta yangu c8 inasumbua kweki yani phone storage imejaa SD CARD IPO nyeupe lkn cha ajabu files haztaki kwenda kwenye SD card nimebadili had storage kwny setting but ttzo lipo palepale
Hta yangu c8 inasumbua kweki yani phone storage imejaa SD CARD IPO nyeupe lkn cha ajabu files haztaki kwenda kwenye SD card nimebadili had storage kwny setting but ttzo lipo palepale