Zilipendwa nyingine kuzipata kazi kwelikweli. Bongo Flava zinapatikana kwa sana tu, Nyimbo za Injili nazo zipo nyingi sana tu, lakini Taarab ni kubwa sana, yani moja inaimba dakika 18 au hata zaidi. Nazo tumeombwa tuziweke, zipo na tunaangalia cha kufanya kuweka mambo sawa.
Ahsanteni