Kubadili kozi chuoni na athari zake HESLB

tzhumoally

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
412
Reaction score
156
Natanguliza shukrani, naomba ufafanuzi kidogo,

Hivi kama tunavojua HESLB hawatoi mikopo kwa watu waliomaliza zaidi ya miaka mitatu nyuma, labda usomee ualimu au udaktari ndio wanakupa

Sasa tuseme nimeomba ualimu na mkopo wamenipa lakini nikifika chuo nikaamua kuchange course sasa hapo bodi wataendelea kunipa au watakatisha hela yao?

Na kama watakatisha watakatisha kuanzia muda upi mpaka umalize mwaka au on the spot, naomba msaada wenu. mimi nimemaliza form 6 2009 comb ya PCM
 
Mkopo utapewa ila boom lako litacheleweshwa kama semister nzima hivi

Hapo inabidi kukomaa na Loan Officer mbaka kieleweke
 
kubadirisha aiwagi vigumu... !!? wakuu kama una vigezo kama cutting points unazo na ad zaidi,,..
 
Ukitaka kuyaona maisha ya chuo machungu na yalivyo magumu kama unategemea pesa ya boom usijaribu kufanya hicho kitu nakumbuka kuna rafiki yangu alipata hela ya boom ya kwanza ambayo inawahi kuja sababu wanajua upo course waliyokupabgi afu yeye akabadiliaha course hakuwai pata hela nyingine ya boom mpaka alipoamaua kuacha chuo mwaka wa pili semister ya kwanza kutokana nahali kuwa ngumu na uwezo wa kifamilia ulikuwa kidogo akaenda kusoma zake diploma yaani hiyo kitu inaitwa usijaribu kama uko tayari kuupotezea mkopo usome kwa hela yako ni sawa ika sio kubadili course.
 
Sasa me nilimaliza f6 mwaka 2011 nilipata principal pass moja na subsidiary zote na mwaka 2015 nili ludiaa mitihani miwili na nikapapa principles pass 2 nimeonganisha nimekuwa na principles 3 yani na BCC je huo mkopo naweza Pata maana miakaaaa mi3 ilisha pita sema nimeunga cheti.... Hapo vipi na course niliomba ni BATCHELOR OF ART WITH EDUCATION msaada wa mawazo wakuu......
 
Yani ulitaka kubadili kozi chuoni ama?
 
Yani ulitaka kubadili kozi chuoni ama?

Uwezekano wa kupata mkopo sababu wanasema mwombaji asiwe na miaka mitatu Tangu amalize skuli me sielewi nitakuwa kundi gani maana nipo sehem mbili yani mwaka 2011 nifanya kama school candidate na 2015 Nilifanya kama private candidate s
 
Ondoa hofu kuhusu ilo mkuu mkopo utapata..kuna mdogo wangu.wakike.alipata mwaka jana nayeye pia alikuwa amereseat..
 
utatuma maombi upya.. kuwajulisha hizo changes ..nao watakupangia mkopo upya kulingana na unachosomea, kwa mfano kuhama toka MD kwenda social science lazima mkopo ubadilike hapo..
ongea na wahusika chuoni watakuelekeza vizuri
 
Unawezaje kuomba upya wakati mkopo ushakuwa procesed chuoni?
 
ina tegemea na ada ya kozi mpya uliyo hamia.maana mikopo mnapewa kwa evaluation ya gharama na ufaulu.so gharama ikiongozeka unaweza shuka daraja la mkopo au kuukosa kabisa
 
Na utaratibu huo unafanyika katika kipindi gani semister ya kwanza au?
 
Sasa me nilimaliza f6 mwaka 2011 nilipata principal pass moja na subsidiary zote na mwaka 2015 nili ludiaa mitihani miwili na nikapapa principles pass 2 nimeonganisha nimekuwa na principles 3 yani na BCC je huo mkopo naweza Pata maana miakaaaa mi3 ilisha pita sema nimeunga cheti.... Hapo vipi na course niliomba ni BATCHELOR OF ART WITH EDUCATION msaada wa mawazo wakuu......
education hata ukikaa miaka 10 mtaani basi unapewa,ualimu na udaktari hawaangalii miaka uliomaliza
 
Back
Top Bottom