Kubadili cheti kwenye ajira portal

Kubadili cheti kwenye ajira portal

Kwanza kabisa, tambua kwamba kwenye ajira portal unaweza kubadili cheti lkn huwezi kubadili qualifications.

Sasa cjui unataka nn hapo.

Kubadili cheti ni unaenda kwenye kile kipengele ambacho unakiona hicho cheti unachotaka kubadili afu una-replace na hicho unachotaka kuweka upya.

Kama ni kubadili qualifications, bc imekula kwako mana kwa mfumo wa ajira portal itakuona unataka udanganye. mfano qualifications inaweza ikawa diploma in hotel management lkn cheti umeweka diploma in tourism na system inakubali vzr tuu ila shida inakuja hapo kuondoa hy diploma in hotel management Ndio system itakugomea Ila kuondoa cheti cha diploma in tourism na kuweka diploma in hotel management inawezekana.

NB: kuna mpumbavu atakuja kunambia hakuna diploma in hotel management Wakati mm nimeandika kama mfano.
 
Nshawe

Shukrani
 
Back
Top Bottom