Nina Huawei P6 inatumia android 4.2.2 ninataka ku upgradekwenda lollipop kama ikiwezekana lakini google sijaona ROM yake pamoja na kuwa simu iko Rooted. Msaada kwa hili

umeshindwa sehemu gani? Nikiiwasha simu yangu inaishia hapo tu, haiendelei na nilijaribu kudownload firmware ya hiyo P6 na kuiweka kwenye MemoryCard na kuiweka kwenye hiyo simu lkn hakuna la zaidi