chuse da silva
Member
- Nov 27, 2013
- 35
- 15
Jellybaen,Kitkat hizo ni skin za Samsung ndio maana nikampeleka huko.Mkuu sammobile ni kwa ajili ya samsung tu.....Labda angetaja Aina ya simu kwanza
Jellybaen,Kitkat hizo ni skin za Samsung ndio maana nikampeleka huko.
Vizuri ungetaja aina ya simu.
http://www.sammobile.com/firmwares/
Nenda hapo andika model ya simu yako, utaona kama imepta hiyo update, na maelezo jumla utayapata haphapo.
Mkuu sammobile ni kwa ajili ya samsung tu.....Labda angetaja Aina ya simu kwanza
Haya ni maelekezo kwa kifupi sana!
Flashing ROMs ni risk kuliko ROOTING!!
Hatua ni hizi (kwa kifupi sana) kutoa tu mwanga.
1. Device LAZIMA iwe rooted.
2. Boot kwa recovery mode kisha backup system
nzima kwenda kwenye SD Card. Hii inasaidia
ikiwa process ita fail urudishe settings za mfumo
wa mwanzo.
3. Nenda PlayStore download ROM Maneger na
CW Recovery
4. Nenda google search Lollipop ROM special
kwa simu yako. (mf. Tecno M3.) Download na weka kwenye SD
Card.
5. Baada ya kufanya backup ya simu yako
fungua ROM manager chagua Flash ROM itafute
ROM ulioidownload, ichague...then the process
continues..
Some technical skills may be needed...
Hapo Umemuuza. ungemuambia ku save picha

Sio mtaalamu wa hizo Recovery proccess, ktk kubonyezabonyesha nikaona hilo neno nikakubali kuifanyia recovery, simu ikazima, nikajua inaji-reboot labda, ikawaka kwa kuonyesha ua tu mpk leo, sina hamu tena na Huawei P6, nikaiweka kwenye Begi mpk leo
աɛҡa ʄɨʀʍաaʀɛ ռʏɨռɢɨռɛ tʊ ɦaքօ.
Kwa kutumia Computer?? Maana simu ndio imegoma kuwaka zaidi ya hapo kwenye Ua la Huawei tu
huawei wanaeka firnware kwenye website yao. download firmware halafu tengeneza folder la dload kwenye memory card then extract firnware humo then boot simu kwenye download mode itajiflash bila pc.
Kwa kutumia Computer?? Maana simu ndio imegoma kuwaka zaidi ya hapo kwenye Ua la Huawei tu
ɦʊtʊʍɨɨ ċօʍքʊtɛʀ ռɨ աɛաɛ tʊ ռa ʍɛʍօʀʏ ċaʀɖ ʏaҡօ