We ndio safi. Umeacha utundu siku hizi? Au ni leo tu?Ah huyo atakutambulisha Kisura mwenyewe.
We ndio safi. Umeacha utundu siku hizi? Au ni leo tu?
Usianze siku iishe hivi hiviUnataka nianze utundu?
Usianze siku iishe hivi hivi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nikuchumu...?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Duh..kaka kwani ilikuwa serious kiasi hicho?
Mi mbona niliona kama alikuwa anatania tu?
Anyway..siyo kwamba najua mambo yao au najua kilichopo moyoni au kichwani mwake.
Mi nilidhani alikuwa anatania tu. Nothing serious...but what do I know!
Sorry bro ila rudi nyuma...aliandika too hard!
Mwenzako mi naogopa
Basi labda alimaindi alivyoona unamtongoza demu wake.
Achana nao.
Mwenzako mi naogopa
Ina raha?Haiumi bana....
Hahahahah! Huyu hamisi ana vituko. Tunaasiliana.Umeamua kumuasili Husninyo!.[emoji3][emoji3]
Ina raha?
Hahahahah! Huyu hamisi ana vituko. Tunaasiliana.
Busu la shavu halina uroda bana.Ina raha, uroda, na utamu kunoga!
Heheheh, unajua unantaftia kesi lakini.Enheeee hayo ndo mambo sasa my Mwajuma!
Mwaaaaah pale kati😛.
Busu la shavu halina uroda bana.