Hapo Sina uhakika ili mradi wenyewe wameweka Kama sehemu ya kuapply maana yake nafasi ipo ukizingatia watu wanaconcofirm au ku unconfirm kwa hiyo idadi kamili hata wao hawana.
Watu wengi wanaapply so server imezidiwa..chakufanya jaribu kuapply muda ambao unahic watu weng watakua hawaivisit..mfano alfajir...cause me mwenyew nlipata matokeo yang ya chuo kwa haraka kwa sababu nilikua na log in saa kumi asubuh...ilivofika mida ya saa mbili ikawa kuingia ni shida