Kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar

chotibalula

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
206
110
Za mchana wana jukwaa..... Samahani naomba munijuze mie, ivi kesho ni siku ya mapumziko hadi huku kwetu bara au ni kwa Zanzibar.
 
Bara inahusika tu kutoa ulinzi wa visiwani, mapumziko ni kwa wale waliojipatia rais atakaeapishwa kesho.
 
Kwani si anaapishwa ijumaa na ijumaa ni siku ya pasaka ijumakuu good friday
Kumbe kwenda mskitini na sijui sgda usoni havina maana, sikutegemea dr shein awe na uchu WA madaraka kiasi cha kumdhurumu muumin mwenzie
 
Kama hujui habari ya visiwa hivi Unguja na Pemba na historia yake kisiasa na kijamii itakuwa ni tabu kufahamu yaliyopo
 
Hatuwezi kupumzika kusheherekea Rais wa kuchonga. Kwanza kachaghuliwa na watu laki 2 tu! Tehe tehe tehe!
 
Za mchana wana jukwaa..... Samahani naomba munijuze mie, ivi kesho ni siku ya mapumziko hadi huku kwetu bara au ni kwa Zanzibar.
MAGUFULI ASIENDE KWENYE AIBU YA DUNIA AMTUME MAKAMBA AWAKILISHE KWENYE KUAPISHWA HUYO RAIS CCM.AKIENDA ATAKUWA AMEJIPAKA NAJISI
 
Mtaelewa tu ze mburulaz, Africa is for Black Africans na sio ya madalali wa watwana waliokuja ktk nchi yetu na majahazi na tena kwa msaada wa pepo za monsoon
 
Will EA leaders and members of diplomatic community attend the crowning moment of humiliation? Humiliation of democracy and the dignity of Zanzibaris.
 
Back
Top Bottom