Kuanzisha website

Wadau wa JF nani anautaalamu wa kuanzisha website.
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike?
Domain 1$-14$/year 1$ ikiwa kwa offer

Hosting per month average 3$/month mind you sio stagnant price inaregemea na provider.

Mtenngenezaji wa tovuti yako nae huyu utamlipa hela kuanzia 50,000/= mpaka hata 1M+ kulingana na hizo properties unazotaka tovuti yako iwe nazo.

Sorry kwa kutumia USD hapo juu ila nimeweka Bei za online kwa providers ambao nimewai tumia!
 
Wadau wa JF nani anautaalamu wa kuanzisha website.
Na gharama zake ni kama shillingi ngapi hadi ikamilike?
mambo vipi mkuu ? mimi nautalamu wa website baadhi ya kazi zangu ni km:
www.cableoutreach.org
www.patmogsl.co.tz
www.hypnosisltd.com
www.fikisha.co.tz

hizo ni baadhi ya kazi zangu bei ya jumla ya website ni Tsh 200000 (laki mbili) ambapo utapata registration domain name yoyote iwe .co.tz, .com, .org au yoyote ile + hosting account ambayo ni unlimited storage na email account pamoja na kudesign website nzima

nicontact kwa number +255 654 380 695 au email matthewkapela@gmail.com karibu mkuu tufanye kazi
 
Mkuu Mimi ni mtaalamu wa kudesign website ,tuwasiliane ili tufanye Kazi na nitakufanyia kila kitu kwa 190000/= tu 0687535650.
 
Back
Top Bottom