Naomba mawazo na ushauri juu ya vifaa gani muhimu vya kuwa navyo kwa kuanzisha video production company? Vifaa kama editing computers, software etc. Na naweza kuvipata wapi?
Mkuu u-fake wa watu utaathiri nini ukieleza bayana hapa kwa jukwaa?
pia ku generalize kuwa watu humu ni fake ni matusi makubwa mkuuupendo_20 tuombe radhi tafadhari!