Kuanzisha huduma ya Tigopesa

Kuanzisha huduma ya Tigopesa

Option ya kwanza nenda tra kachukue TIN then tafuta leseni ya biashara itakusaidia kupata line yenye jina lako ukienda of is za tigo hapo ulipo.
Option ya pili line zinauzwa mtaani kuna watu wametumia wameamua kuachan nw hii biashara so zipo waulize mawakala watakusaidia kuzipata Ni being za kawaida mkuu.
 
Ili uweze kupata Line ya uwakala Tigo Pesa, unatakiwa uwe na TIN Number, Leseni ya Biashara na Kitamburisho chako chochote Mf. Voter's ID. Kisha uwe na kiwango chochote cha pesa ya kuanzia (Float).
 
Back
Top Bottom