Kuanzia leo naacha pombe

Mkuu anzisha group ili tujiunge na chama cha walioacha
 

Bahati mbaya aisee maganda ya ndizi yalinishinda ukiangusha bapa naangusha Bombadier
 
The quickest solution is to live without money,if only you can manage that,and once you have succeeded i promise you in a fraction of a second you can start enjoying the life of being sober...
 
Umenikumbusha mbaali sana. Pale Bonga bar Ilala mtaa wa gereji. Unanawa halafu anaingiza kichwa chini ya meza na kukufungu zipu. Watu wanaona unahangaika tu kumbe kuna shughuli inaendelea chini ya meza.

ha ha ha hii ilikua zamani sana Juzi nimepita pale naona kama imechoka kiana aina. Mimi nilikua nikilewa lazima niharibu aisee. ila mwenyezi Mungu ametuapusha na mengi sana bora tu jamaa ameamua kuacha.

Tusuburi mrejesho Jumatatu kwasababu huyu naona anasumbuliwa na hangover ya juzi jumapili
 
weka maziwa ya kitimoto kwenye hiyo pombe af inywe, utatapika balaa na siku nyingine ukiona tu hiyo pombe unapata kichefuchefu
 
Matumizi yako mabaya usisingizie pombe!
Acha pombe uone kama utafanya hivyo vitu vya maana unavyodai...

Inabidi ifike mahali watu muache kusingizia gambe mambo ya ajabu!
 
Huwezi kuacha kwa sasa,amini nakwambia,na hizo offer ulizokuwa unatoa wewe ndio utapewa. Sisi walevi bora tuendelee kupeteza pesa zetu kuliko kukupoteza mwanachama wetu,kuhusu pesa zako endelea kuzitunza tutatumia zetu.

In shetani voice!
 


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…