Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

Mkuu unanifurahishaga sana maisha yako yanaendaga inverse na binadamu wengine, yaani yanaanzia uzeeni kuelekea utotoni.

Ulianzia ukiwa chuo kikuu unalalamika UMECHOKA KUPIGWA EXILE, UKAWA UNAJIFUNZA JINSI YA KUTTONGOZA, Ukafurahi ukasema HATIMAE NIMEPATA BOOM, ukafurahi ukasema MUHAS HIYOO NASUBIRI JINA TU, ukafurahi ukasema HATIMAE NIMEFAULU FORM SIX, ukafurahi ukasema WAKUU PCB ni ngumu?, juzi ukaanzisha thread ikisema NIMEPATA ONE YA KUMI FORM FOUR USHAURI NISOME MCHEPUO GANI,

Hapa nipo nawaza episode itakayofuata utakuja na thread kama hii NIMEMALIZA DARASA LA SABA B SEKONDARI NIENDE KAYUMBA AU PRIVATE??
Teh teh teh teh teh teh
 
Yani kuanzia leo mpaka narudi mavumbini sitakaa nimuamini kiumbe kinaitwa mwanamke

Kwanza ukitaka mambo yako ya kwame mshirikishe mwanamke ,ukitaka siri zako zivuje mshirikishe mwanamke

Wanawake wengi ni waongo waongo na hawana mapenzi ya kweli

Hamna kitu kinachouma zaidi kama kumpa mwanamke zawadi na hiyo hiyo zawadi umkute nayo rafiki yako .

Sitasahau siku nimeenda club moja inaitwa Kangaroo au Durban ipo karibu na Ambiance siku hiyo nilichukia saana kuna msichana aliniambia nimnunulie bia then nimbambie nikaona sio kesi wala nini kwani bia kitu gani ,nikazama mfukoni kidume nikamnunulia aisee bhana baada ya kumnunulia bia yule msichana akavunja makubaliano na akajifanya mkali saana na kudai nisimfate fate kwa kuwa yupo na bwana wake aisee niliumia saana yani at least basi angeniomba tu nimnunulie bia bila kuweka makubaliano yoyote ili mimi nijue nimkubalie au laaah ,hii ni kwa sababu mimi bhana hela ya kudhulumiwa huwa inaniuma sana kuliko hela ya kutoa kwa hiari yangu ,nina uwezo wa kumpa mtu hata elfu 50 na nisimdai lakini wakati huo huo ninaweza nikakosana na mtu kisa kanitapeli elfu moja.

Basi bhana mimi sikutaka kujibishana na yule dada as long as kakataa sikutaka kuendelea kumfata fata maana angezidi kuongea shit na mimi ningekasirika na kuanzisha fujo maana najijua nikikasirika huwa sizuiriki na pia mzee wangu ana jina kubwa saana hapa dar so angejua nimeanzisha fujo bar/club kisa msichana ninge m disappoint saana .

Huu ni mfano mchache ila ipo mingi ila kwa kifupi ndio hivyo nawachukia saana wanawake huwa nawaona kama inhibitors na nawachukulia kama chombo cha starehe

Kwa ambao mtakwazika nami naomba mnisamehe ila ukweli ndio huo siwapendi wanawake na hata kwenye group discussions akiwepo msichana naona kama kuna KIRUSI kimeingia hivyo niwe nacho makini
Mkuu inaonekana wewe ni dhaifu sana. Vidume huwa hatulalamiki. Ukikutana na Mjanja kuliko wewe unakubali lushindwa kistaarabu unatulia kusubiri zamu yako uotee umvue chupi GOLI za haja kisha unasonga.

Mwanamke mnunulie Bikini. Akimgawia bwanaake wa kando Sawa tuu. Tatizo mnatoa pesa nyingi halafu hakuwa mmepiga hesabu vizuri matokeo yake ndio hayo kulia lia.

Hata mimi huwa nalizwa. Sema sisemi. Naugulia kimoyo Moyo maana sio wa kwanza wala wa mwisho.
 
Yani kuanzia leo mpaka narudi mavumbini sitakaa nimuamini kiumbe kinaitwa mwanamke

Kwanza ukitaka mambo yako ya kwame mshirikishe mwanamke ,ukitaka siri zako zivuje mshirikishe mwanamke

Wanawake wengi ni waongo waongo na hawana mapenzi ya kweli

Hamna kitu kinachouma zaidi kama kumpa mwanamke zawadi na hiyo hiyo zawadi umkute nayo rafiki yako .

Sitasahau siku nimeenda club moja inaitwa Kangaroo au Durban ipo karibu na Ambiance siku hiyo nilichukia saana kuna msichana aliniambia nimnunulie bia then nimbambie nikaona sio kesi wala nini kwani bia kitu gani ,nikazama mfukoni kidume nikamnunulia aisee bhana baada ya kumnunulia bia yule msichana akavunja makubaliano na akajifanya mkali saana na kudai nisimfate fate kwa kuwa yupo na bwana wake aisee niliumia saana yani at least basi angeniomba tu nimnunulie bia bila kuweka makubaliano yoyote ili mimi nijue nimkubalie au laaah ,hii ni kwa sababu mimi bhana hela ya kudhulumiwa huwa inaniuma sana kuliko hela ya kutoa kwa hiari yangu ,nina uwezo wa kumpa mtu hata elfu 50 na nisimdai lakini wakati huo huo ninaweza nikakosana na mtu kisa kanitapeli elfu moja.

Basi bhana mimi sikutaka kujibishana na yule dada as long as kakataa sikutaka kuendelea kumfata fata maana angezidi kuongea shit na mimi ningekasirika na kuanzisha fujo maana najijua nikikasirika huwa sizuiriki na pia mzee wangu ana jina kubwa saana hapa dar so angejua nimeanzisha fujo bar/club kisa msichana ninge m disappoint saana .

Huu ni mfano mchache ila ipo mingi ila kwa kifupi ndio hivyo nawachukia saana wanawake huwa nawaona kama inhibitors na nawachukulia kama chombo cha starehe

Kwa ambao mtakwazika nami naomba mnisamehe ila ukweli ndio huo siwapendi wanawake na hata kwenye group discussions akiwepo msichana naona kama kuna KIRUSI kimeingia hivyo niwe nacho makini
Kwa hiyo hata mama yako hutamuamini?
 
bia tu ubandue??

bar mwanamke anabebwa kwa bia ya mwisho yule atakayemnunulia ya kukata ringi ndio ataondoka nae

Si kweli, inategemea na lengo lako kwa huyo mwanamke mlengwa. Si bar tu, sehemu yeyote mwanamke anachapwa hata kwa muhogo wa kuchoma au mshikaki mmoja tu. Inategeea na gemu lako, hakuna mwanamke asiyependa kushindiliwa hogo, nasema hakuna.....nyege bwana achene tu iitwe nyege ile ni kiboko ya raha zote duniani.
 
Mama yangu kaingiaje?

Mimi naweza kuwa na mapenzi na mama yangu kweli??

Dada mbona unanitafutia ban isiyo ya lazima??
Mama yako nae pia ni mwanamke so ni inhibitor kama ulivosema unawachukulia wanawake kama inhibitors..... Dada zako pia ivo ivooo shangazi zako na mama zako wakubwa na wadogo.... Bila kumsahau bibi yako coz na wao pia no wanawake...... Kwa hivyo ukitaka mambo yako yasikwame usimahirikishe kirusi yoyote ( mwanamke) wa kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom