Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,523
- 12,457
Ndio mkuuKikubwa uhai tu
Wanaomiliki bajaji si wapo kwenye kundi hili?
- TSh milioni 10+ β tajiri waziwazi
Hiki kinapaswa kuwa kipato chako cha mwezi cha kila mweziWanaomiliki bajaji si wapo kwenye kundi hili?
Aanh sio assetHiki kinapaswa kuwa kipato chako cha mwezi cha kila mwezi
Asset ndio hizo zimeandikwa chini ya kipato hapo zinaanzia million mia na kuendelea...Aanh sio asset
Nishaelewa kiongoziAsset ndio hizo zimeandikwa chini ya kipato hapo zinaanzia million mia na kuendelea...
unaumia ukiwa wap ndugu maskini
uhai hata maskini anao au unaondoka huwa sio excuseKikubwa uhai tu
- Kikubwa ni Afya njemaKikubwa uhai tu
Duh!TSh milioni 3β5 β unaishi vizuri