Kuanzia kesho....

Kuanzia kesho....

stardust JK

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,998
Reaction score
4,256
IMG_20180310_201456_473.JPG
 
Hata Marekani kwenyewe sidhani kama wanafanya hiyo kitu. Kwa lipi kwanza?
Jaribu kufanya simple reasoning.
Suppose Tz ina watu milioni 48 na kati ya hao milioni 18 ndio watu wazima. Wengine ni watoto+wazee. Kati ya hao 18 milioni, milioni 12 wana simu ×line 2 kila mmoja kama ilivyo nature yetu kwamba una tigo na voda wakati mmoja. Tunapata line 36 milioni.
So unatuambia serikali ianze kutrack na kurekodi line kwa mfano milioni 30 kila siku. Irekodi calls, ifuatilie watsapp, insta, twitter za line zote hizo daily?
Kwa kukusaidia tu ujue siku zote huwa wanafuatiliwa watu maalum ambao wako kwenye target yao
 
Hii habari ya kizungu ni kwetu kweli
Nilitegemea kiswahili ndio ingeleta maana lakini siiamini labda Nigeria ambapo wengi wanaielewa
 
Kwa vile imeandikwa kizungu basi labda ulaya hiyo, ingekuwa Tanzania ingeandikwa kiswahili[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom