Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Huyu jamaa hapana ,nooo nooo ..sio hali yakawaida hii .

Nahis nimoja ya watu wanaotupangiaga matukio hapa nchini ..

Hii zaidi ya Utabiri . Karama hizi zilishatoweka.
Mimi nimewaambia mara kibao na narudia Magufuli hakuwa Raisi kwa bahati mbaya, JPM tangu 2012 ana ulinzi special tofauti na mawaziri wengine na watu wa kitengo walikuwa wanajua mapema.Hebu jiulize kati ya hayo majina yote aliyoyataja nani anaweza kuwa mbabe zaidi ya JPM?.. Hapo ndo PUZZLE ilipo.Kuna uzi humu wa 2014 wa Paschal Mayalla unafukuliwaga na kupotea,alisema wazi Raisi ajaye ni JPM watu wakambeza na ilikuwa 2014, Ila alikataa katakata mpaka kesho kusema kwanini alihisi ni JPM na wapi alisikia, hata wakiufukua huwa anakataa kusema.Huu sio utabiri, huyu alijua nani anafata akajiongeza kuelezea hulka ya huyo mtu atakayefata kwa namna anavyomfahamu akiwa waziri.Ukienda extra mile utakubaliana na mimi.
 
Ushapata jibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu kabuli limefukuliwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha masikhara mkuu!

- Watu kupotea: Ben Saa nane
- Raia kuuwawa: Aquillina
- Kuminywa demokrasia: Hakuna mikutano ya kisiasa (kwa vyama vya upinzani)

Sasa hapo unataka wakanushe nini?

By the way, sijaona mahali panaposema rais ndie muhusika!

- KANA -
 
Acha na mm nichangie kidogo.TISS IS NOTHING NOT EVEN INFERIOR TO UDSM.Wale jamaa TISS kazi yao ni kuzima lolote ambalo intellectuals wale watalipanga likiwa against gov.

Hapan taasis very risk kufany kazi kama UDSM sabb unakua monitored 24/7 .

I GUESS SIKU WALE STAFFS WAKIRESIST NA KUTAKA NCHI YAO BASI ITARUDI NA TISS HAWATAKUA NA KUSEMA BALI KUMSHAURI RAIS AACHIE MADARAKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akufumbue macho uone mwanga badala ya giza la udikteta!

tunapigania utawala wa sheria na haki, na ndio tunawataka watanzania wote pamoja na wewe tuelewe!
Tanzania ni ya watanzania wote, si ya hao unaowataja! Amka!
Mkuu habari yako mjomba
 
Mauzi hajajulikana sana ni nani naona watu wameanza kuchanganyikiwa na kuchanganya madaa

Ikaenda ikaisha na ikaishia hapo
Mzee Joseph Mauzi=Mzee YUSUPH MAKAMBA.


February Mauzi Twitter= JANUARY MAKAMBA anatumia sana Twitter.

Hence Proven MAGAMBA MATATU=MZEE YUSUPH MAKAMBA.

"Mods sina Makosa mtu kaleta Code mm NimeDECODE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…