Kuanzia 2008 mpaka sasa, CHADEMA na upinzani uchwara ndiyo chanzo cha matatizo na mgawanyiko katika jamii

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Ni ukweli usiyopingika kuwa kwanzia 2008 mpaka June 2015 uukawa na upinzani Kwa ujumla walihubiri chuki juu ya viongozi wakitaifa wakiwatuhumu kuwa ni mafisadi!! Aliyeathirika na siasa za kilagai za ukawa na hasa chada ni mh Lowassa!! Ilifika hata wakati mwenyekiti Wa chadema akashangaa kuona vibaka wanachomwa lakini wanamuacha MTU fisadi kama Lowassa akitanua mitani...clip IPO wazi !!

Cha kushangaza na kuonyesha fitina za wapinzania walikuja kumchukua waliyomwita fisadi kuwa mgombea urais wao!! Hapa ndipo wapinzani walipooneka machoni mwa watanzania wengi kuwa ni wanafiki sana .huu ulikuwa mwanzo Wa kupoteza uaminifu Kwa watanzania!!

Mwendelezo Wa siasa za chuki na kilagai umeendelezwa na chadema na baadhi ya wapinzaji!! Mwanzoni walihubiri ufisadi!Alipokuja rais anayepinga ufisadi Kwa vitendo wakasema anatekeleza ilani ya vyama vyao,lakini wakasema ni nguvu ya soda! Walipoona yuko serious wakaanza tena tabia zao za siasa za chuki,ubinafsi na za kilagai na kutaka kucheza na akili za watanzania wengi!! Walianza kupamba na Mkuu Wa nchi wakitumia silaha za kuhoji kila kitu .mfano walianza kuhoji PHd ya Mkuu Wa nchi kana kwamba ili uwe rais lazima uwe na PhD! Hawakutosheka wakaanza kufukua makaburi wakiulizia MV kigamboni,Mara samaki Wa magufuli Mara uuzwaji Wa nyumba za serikali!!hawakuachia hapo wakaanza kupinga kila anachofanya hata kama nikizuri !! Japo mataifa yanamkubari JPM Hawa watanzania wenzetu wanajitaidi kuonyesha kuwa rais wetu ni mbaya!!hawa watu ni waajabu kweli!! Wako tayari kumdhalilisha kiongozi Wa nchi yao Kwa mataifa ya kigeni!! Tuseme hawana akili ? Maana wamezidiwa na siafu au nyuki japo hawana kiongozi Wa na ummoja Wa ajabu!!

Viongozi Wa Dino nao kazi ya njili imewashinda wameanza siasa za chuki na kilagai !! Kwa sababu ndani ya mioyo yao kuna vyama!! Wamracha kuhubiri amani na kuheshimu viongozi Wa nchi kama njili isemavyo!!


Taifa Kwa ujumla tuvae magunia tuombolezee taifa letu,vyama vyetu na jamii zetu kabla ya gharika ya machafuko kama yaliyotokea Rwanda na Burundi na nchi nyingi za Africa
 
wew nawe asubuhi yote hii unaamka na pumba..kapige mswaki uende kazini shubamiti
 
Back
Top Bottom