Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,407
Zito Kabwe atapingaPia alipunguza sana nafasi za teuzi na kupelekea hadi kufikia u kurugenzi kufanyiwa usaili...
Umeandika ukweli mtupu ambao watu wengi wakiwemo viongozi wanajaribu kuuficha1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani.
2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru.
3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata huduma pia.
4. Raisi Mkapa alituambia tufunge mikanda akuze uchumi. Na Wote ni mashahidi baada ya muda uchumi ulikua kweli na bei za bidhaa zote zilishuka.
5. Serikali ya Mkapa itakumbukwa kwa kuondoa kodi ya kichwa, tozo za mikokoteni na baiskeli, kufuta leseni za biashara. Ujenzi wa barabara za lami, daraja la mkapa, bunge, mkapa stadium, koboresha mishahara ya wafanyakazi nk.
6. Ni nini kimewakwamisha viongozi wa serikali ya awamu ya sita? Twafa
Tuelezee kidogo unakuaje ili tupate uelewa...Maisha kusaidiana!Wewe unajua maana ya uchumi kuzorota?
Vitu kupanda bei haimaanishi uchumi kuzorota
Likikujibu ni tagTuelezee kidogo unakuaje ili tupate uelewa...Maisha kusaidiana!
Tupe shule boss. Ni ni kinachoendelea nchini? Mimi sijui lolote juu ya uchumi .Wewe unajua maana ya uchumi kuzorota?
Vitu kupanda bei haimaanishi uchumi kuzorota
Uchumi kuzorota maana yake ni uzalishaji kushuka na huduma kukosekana, na watu kupunguzwa kazi, viwanda na ofisi nyingi kufungwaTuelezee kidogo unakuaje ili tupate uelewa...Maisha kusaidiana!
Mnasumbuka na jitu jehu lileTupe shule boss. Ni ni kinachoendelea nchini? Mimi sijui lolote juu ya uchumi .
Vitu kupanda bei maana yake ninj kiuchumi kwamba vimejaa siyo kila mahali unajiokotea tu?Uchumi kuzorota maana yake ni uzalishaji kushuka na huduma kukosekana, na watu kupunguzwa kazi, viwanda na ofisi nyingi kufungwa
Vitu kupanda bei haimaanishi uchumi kushuka, kama ni hivyo basi uchumi wa nchi haujawahi kupanda maana bei ya bidhaa miaka ya 60,70,80,90, ilikuwa chini kuliko ya sasa
Ni mwaka gani, nchi gani ambako vitu havijawahi kupanda bei?Vitu kuoanda bei maana yake ninj kiuchumi kwamba vimejaa siyo kila mahali unajiokotea tu?
Mwaka 2018/19 Tanzania vitu vilishuka bei na viliendelea kubaki hivyo hivyo mpaka 2021Ni mwaka gani, nchi gani ambako vitu havijawahi kupanda bei?
Vitu vinapanda bei sababu demand inapanda
Niambie ni mwaka gani, vitu havijawahi kupanda bei? Elfu 10 ya mwaka 1990 na elfu 10 ya mwaka 2020 zinalingana thamani?Mnasumbuka na jitu jehu lile
Ni nini waziri wa fedha, gavana BOT,Waziri wa mipango na uchumi etc wakati Rais Mkapa walifanya hadi uchumi kukua? Kama viongozi hawa bado wapo kwa nini serikali isiende kupata ushauri kwao? Twafaaaa!Pia alipunguza sana nafasi za teuzi na kupelekea hadi kufikia u kurugenzi kufanyiwa usaili...
Alikuwa na watu ambao kweli walikuwa na capacity ya kutumia weledi kwenye nafasi zao...
Kosa lake kubwa ilikuwa kutomsikiliza Mwl JKN kuhusu privatization...Angefuata mfano wa raia kupewa kipaumbele na kupewa ujuzi wa kutengeneza mitaji, leo hii nchi yetu ingekuwa pahala pa zuri zaidi...Hasa kama waliofuata baada yake wangeendeleza yale aliyoayaanzisha yeye...
Vitu gani vilishuka bei?Mwaka 2018/19 Tanzania vitu vilishuka bei na viliendelea kubaki hivyo hivyo mpaka 2021