Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,710
- 32,483
Asalam aleikum waungwana, jamani naomba msaada wa haraka kwa mwenye uelewa wa kuangamiza hawa wadudu (Panya). Ndani ya wiki mbili imekuwa tishio kwangu, walianza kama utani mmoja mmoja sasa wameingia kila mahali. Tunajitahidi sana usafi wa kila siku na kila mahali lakini wanazidi, msaada jamani. Tumewawekea sumu wakala siku ya kwanza baada ya hapo hawali ng'o!
Najua kuwa na paka ni suluhisho moja wapo, natafuta sana paka kwa mwenye nae pia wakuu.
Najua kuwa na paka ni suluhisho moja wapo, natafuta sana paka kwa mwenye nae pia wakuu.