Watu wengi tunajua kuwa matangazo online yanalipa ila bado kumekuwa na changamoto kubwa ya jinsi gani ya kupata trafic na vilevile kuingia unatakiwa kulipa wakati wewe unatafuta kazi.
Kuna kampuni kwenye link hii Viewing payed advertising sites acmoney.bid - Welcome! unaanza kwa kuangalia matangazo unafanya referal halafu unalipwa ukiwa na muda kwa kuongalia na kufanya hiyo data entry inaweza kuwa fursa. Hii hakuahidi utajiri wa haraka ujaribu ukiona akufai achana nayo ila atleast utakuwa umejaribu. Unatakiwa uweke user name na password na email unaanza kuview.
Again link ni hii hapaViewing payed advertising sites acmoney.bid - Welcome!.
Karibu
Umeshawajaribu ndugu au maana naona wewee unaleta ya watu kutoa fedha, tena bet ndugu nafiri ungekuwa unajaribu kutoa Pro na Con ili watu wajue na kutengeneza thread sio kazi ungetengeneza ambayo inawaalika watu kubet ndi ustaarabu.
Mim nakwambia hao viewing payed advertising sites acmoney. bid-welcome ni uongo mtupuuu utalia nakwambia na utapoteza mda wako, hakuna pesa ya rahisi hivo nina experience nao hao, acha mara moja
Hao jamaa wao wanatengeneza pesa nyingi sana pale ww unapoview matangazo yao lakin ww huwez kupata chochote kama unataka uamini fikisha dola hataia tatu au nenda kweny ku withdraw kama ukiweza ijia na zingine kwangu
[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75]