Habarini..!
Najaribu kuandika tangazo lakini naona lugha inanitatiza kidogo, gramma sijui structure wataalam wa Kiingereza wanaita.Tangazo lenyewe ni:
Fundraising
For Facilitating to Conduct Teachings on Child Nurturing, Leadership, Psychology, Entrepreneurship, Self-exploration, Development and other Life Issues in General. Point yangu ipo katika hiyo sentensi ya kwanza (yenye rangi).. Je gramma iko sahihi, au ilipaswa kuandikwa " To facilitate to conduct"? au "For facilitating the conducting" au nini hapo?...... Msaada tafadhali naomba mninyoshee kiingereza hapo.