Kuamsha hamasa ya mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuamsha hamasa ya mwanamke

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Jun 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,611
  Likes Received: 4,601
  Trophy Points: 280  Wanaume wengi huelewa kuwa kuna umuhimu wa kumuandaa mwanamke kwa kumshika shika maungo yake ya mwili lakini wengi hupuuzia suala hili kwa kuwa wao hamasa yao ya mapenzi huamka na mwili husisimka tayari kwa kuanza kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kuona mwili wa mwanamke ukiwa mtupu.

  Mwanaume wa namna hii huwa hawezi kumfikisha mwanamke kwani mara baada ya kumuingilia mwanamke ambaye hayupo tayari kuingiliwa kimwili kwa kuwa hajaandaliwa, mwanaume hujikuta anafikia mshindo ndani ya sekunde kadhaa na hata akitaka kuzuia bao hushindwa kufanya hivyo, hivyo hujikuta amemaliza haja zake za kimwili na kumuacha mwanamke pengine akiwa hata wazimu haujampanda na kwa bahati mbaya aking’amua hushindwa kurudia tena tendo kwani haitasimama tena.

  Wataalamu mbali mbali wa mapenzi wanabainisha ya kuwa wanaume wenye kutumia muda mwingi kumuandaa mwanamke huweza kujizuia kufika mshindo mapema na hivyo hudumu kifuani kwa muda mrefu na hata kufanikiwa mfikisha mwanamke kileleni zaidi ya mara moja.

  Hata hivyo muda wa kushikana shikana hutofautiana baina ya mwanamke na mwanamke, wanawake wengi husisimka kutokana na kushikwa matiti, matiti ya mwanamke mara nyingi ni yenye kusisimka sana endapo yatatomaswa vizuri kimahaba ama kwa kutumia mikono au mdomo kupekecha chuchu mithili ya mtu anayemung’unya pipi na wazimu ukianza mpanda ncha za matiti husisimka na kujitokeza yaani hudinda na hali hiyo hujitokeza sehemu zake za siri pia kwa mashavu ya k kupanuka na kuwa na hali ya kusisimka huku kinena kikimsimama na tezi zake hutoa ute.

  Ute hutoka mahususi kuruhusu uume kupenya kwa urahisi, hata hivyo si wanawake wote huamsha hamasa ya mapenzi kwa kuchezewa matiti hivyo basi mwanamke anatakiwa kumwongoza mwanaume kwa maneno ama kwa kuweka mikono eneo anataka ashikwe ili apate hamasa ya mapenzi.

  Aidha, wanawake wengine huwa hawana ujasiri wa kumwongoza mwanaume kumtomasa sehemu inayomnyegesha, hivyo kujinyima raha ya mapenzi. Hivyo mwanaume anapaswa kumshika shika mwanamke sehemu mbali mbali kama shingoni, mabegani na kumbusu sehemu ya juu ya mwili wake taratibu akiteremsha mikono kwenye sehemu za siri za mwanamke lakini ahakikishe hana kucha zenye ncha na vidole vikavu ili kutomuumiza mpenziwe na kusababisha ashki impotee gafla na asitake tena mambo!

  Hapa ili zoezi liwe lenye mafanikio mwanamke anatakiwa kuonyesha ushirikiano kwa kutoa miguno ya kumchanganya mwanaume huku akitanua vema miguu ili mwanaume aweze kushughulika vema na sehemu inayozunguka kinena, hadi atakapobaini mabadiliko ya moyo wa mke, ngozi kuwa na joto, pumzi kuongezeka, uso kukunjamana mithili ya mtu anayeumia na anaweza lia kwa utamu anaousikia na hapo mwanaume anaweza kumwingilia kwani huwa tayari kuingiliwa kimwili.

  :-Ukisoma mada hii mtumie na rafiki yako link hii ili ajifunze kwani lengo la blog hii ni kuelimisha jamii nzima ili kila mtu afurahie mapenzi.!
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Jun 13, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu upo deep katika hii nyanja,, imekaa vizuri
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,611
  Likes Received: 4,601
  Trophy Points: 280
  mimi ni Mwalim katika hii nyanja ondowa wasiwasi Mkuu Asante
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  watu wengine bwana...kazi kwleikweli..
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,611
  Likes Received: 4,601
  Trophy Points: 280
  UbungoUbungo Sura yako inaonyesha wewe bado ni Mwanafunzi kwa mambo hayo ya mapenzi kitandani ndio maana unasema hivyo jifunze au waulize waliokuzidi utaambiwa cha kufanya ukiwa na Mwanamke kwenye kitanda sio ufanye kama anavyofanya Jogoo kwa kuku haraka haraka haina baraka kazi kwako Mkuu UbungoUbungo
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  uwe unaweka na vyanzo.
   
Loading...