Kuamini pasipo aminika

Kuamini pasipo aminika

Privatelife

Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
28
Reaction score
62
Kosa langu la kwanza kuamini moyo, kwenye Dunia ya mapenzi isiyompa makazi ya kudumu mwanaume asiye na pesa.

Kosa la pili kuishi kimazoea, dhidi ya kiumbe niliyetakiwa kuishi nae kwa akili.

Kosa la tatu niliamini naweza kumtuliza kwa kumjali sana.

Na kufuata maagizo ya jando ninapokuwa nae juu ya kitanda.

Kosa la nne ni kufanya kila jitihada ili nimuaminishe kuwa, mwanaume sahihi hatoki kwenye familia za kitajiri pekee.

Leo narudisha nyuma jeshi la hisia zangu, kwenye vita ya ahadi na jeuri ya matumizi.

Nimeshindwa kuitetea furaha yangu kwa kumbakisha.
 
downloadfile.gif
 
Kosa kubwa ni kuamini kwamba unaweza kumbadilisha, kama wazazi wake hawakufanya hivyo , ww hutoweza

Mara nyingi mtu mzima anabadilika anapotaka au apitie kwenye moto
 
Back
Top Bottom