philipo.co
Member
- Oct 6, 2015
- 53
- 6
Samahani ndugu zangu mimi nimechaguliwa kujiunga na elimu ya juu katika chuo cha st.joseph engneering and technology kwa fani ya electrical and communication engneering na mkopo nimepata sasa tatizo ni kazini kwangu wamegoma kabisa kunipa ruhusa ilihali nilitoa taarifa mapema, sasa ni, eambiwa kuwa ruhusa nitapewa mwakani kwani walioomba ni wengi,xa isue inakuja ni taratibu zipi naweza kuzifuata ili niahirishe kwa mwaka huu af then mwakani niende katika chuo hicho, na loan board kunatakiwa kupeleka taarifa? Msaada plz