Kuagiza Noah kutoka nje na kununua hapa ipi nafuu?

Jul 14, 2016
14
6
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na ubora
Asanteni
 
Niliwahi kusikia kununua kwenye yard ni ghali kuliko lile la kununulia kwenye kampuni direct kutoka japan...sasa sijui ni kweli??
 
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na ubora
Asanteni
Kama unaweza agiza kutoka nje. unapata uwanja mpana wa kuchagua gari zuri. kama ukitaka kununua kwenye yard za hapa hapa basi nenda yard za uhakika sio kiyard unakuta kina magari 8 tu. Watakuuzia bomu.
 
...Mkuu hebu saidia zaidi hizo yard za uhakika ni zipi mfano hapo Dar?
 
ya kuagiza inakua ghali kidogo ila unachagua kitu unachokipenda. jingine, la kuagiza unasubiri zaidi ya mwezi hadi likufikie toka uagize.
 
Back
Top Bottom