Kuagiza/ kuuza dawa zilizokwisha muda, eneo hili linahitaji kuchunguzwa

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Ninajiuliza hivi kweli watanzania siye ni binadamu kweli na tunajali utu! Unawezaje kuagiza au kumwuzia binadamu mwenzio dawa iliyokwisha muda wake wa kutibu ugonjwa!Pamoja na kutumbua majipu, hili ni eneo linalohitaji nguvu za ziada.

CHAMBUA CHUNGUZA AMUA CHUKUA HATUA
 
Mkuu utu umekwisha. watu wanakuuzia maji ya bomba machafu ....madawa ya HIV feki. Tamaa ya pesa imezidi utu. Kuwa mwangalifu
 
Back
Top Bottom