Kuagiza gari nje bila kulipa ushuru

Dyf

Senior Member
Feb 2, 2016
185
149
Je umewahi kufanya manunuzi na kuagiza gari nje bila kulipa ushuru kutokana na kazi yako (Walimu,watumishi Wa kanisa, au watumishi wa afya) Niliwahi kusikia kuwa na TAX EXEMPTION.

Naomba kufahamu taratibu zake zikoje kwa anayefahamu Tafadhali.
 
Wewe ualimu umeacha?

majority ya walimu hata kujua wana tax exemption hawajui
ni kama kuwa enjoy tu
ni sawa na wewe upewe exemption ukitumia ndege yako binafsi...
yaani....
Sio walimu tu jaman....
 
Ina maana humu JF wote hamjawah kuskia hii kitu...
 
Back
Top Bottom