Kuagiza gari na usumbufu wa ma-agent

Kuagiza gari na usumbufu wa ma-agent

rasomaka

Senior Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
115
Reaction score
139
Yaani sina hata hamu. Gari yangu niliyoagiza sbtjapan mwezi wa Feb mwanzoni limefika dar tangu Ijumaa tarehe 20 Machi, lakini huo ukilitimba wa Agent wa Clearing and Forwarding niliyemchagua mbona kasheshe. Yaani yupo very manually au sijui nisemeje. Hanipi update zozote wala nini, ukimpigia simu au meseji hajibu mpaka ajisikie yeye. Kodi nimeshalipa Tsh 6,200,000, charges zingine bado (shipping line, port charges, reg fees etc) kwa madai kuwa atazilipa yeye mwenyewe kwanza halafu nitam-refund.

Yaani kiufupi hajali kabisaaa kwamba mwenzake nna moto na mkoko mpya halafu yeye anarembaremba tu. Nina hasira hapa hadi nataka nipasuke. Siku nyingine nitaagiza gari na kufanya Clearing mwenyewe nitembee na file hadi kiatu kiishe.

Clearing and Forwarding agents oyeeeeeeee...
 
Si wote ni huyo wako.... Mi kwangu gari ziliingia bandarini kama leo halfu siku ya nne gari zikatokea pale taifa... Ya tano namba zikawa tayari
 
mkuu ni uyo uliemchagua mzembe au unam bania inawezekana skuizi TRA ushuru unalipa kabla gari haijaingia ikiingia unamalizia siku 3 znatosha toka gari ishuke melini
 
Si wote ni huyo wako.... Mi kwangu gari ziliingia bandarini kama leo halfu siku ya nne gari zikatokea pale taifa... Ya tano namba zikawa tayari

Wewe Kampuni yako Inaitwaje? Hebu funguka ufanye biashara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom