Kuagiza bidhaa china

Kama unamoyo wa kusubiri 35 days mpaka 45 and sometimes 60 days .. you are right to go for it.
1.Alibaba
2. Made in China
3. Ali express
3. Ebay

Don’t try . Kikuu.
Unaweza kutumia sanduku la post lako kupata bidhaa utayoagiza au kutumia watu hapa chini

Shipping agents
1. Silent ocean
2. Agiza
3. Target
4.Express cargo
Wote wana ofisi mjini
 
Hivi silent ocean si wanataka mzigo kuanzia cubic meter 1,au hata parcel ndogo wanasafirisha?
 
Mwenye uzoefu wa kutosha

Nahitaji kuagiza kitu ila naogopa kutokana na utaperi UTAPELI NI MWINGI SANA JAMAA madalali ni weNgi

Toeni muongozo
 
Sasa muongozo gani unataka?
Kama huamini mtu. Zipo hizo firm nimeandika hapo. Watafute utapata mzigo wako popote unapotaka kutokea. Hapo hizo kampuni ni kuwasiliana nao. Moja wapo anachukua mizigo hata uturuki, Uk na china.. wapo wa china tu. Sasa unaogopa kutapeliwa na thread imeshajibiwa.
 
Kama unamoyo wa kusubiri 35 days mpaka 45 and sometimes 60 days .. you are right to go for it.
1.Alibaba
2. Made in China
3. Ali express
3. Ebay

Don’t try . Kikuu.
Unaweza kutumia sanduku la post lako kupata bidhaa utayoagiza au kutumia watu hapa chini

Shipping agents
1. Silent ocean
2. Agiza
3. Target
4.Express cargo
Wote wana ofisi mjini
Nashukuru mkuu.mi niko Arusha. Naweza kusubiri nahitaji uaminifu tu
 
Kama unamoyo wa kusubiri 35 days mpaka 45 and sometimes 60 days .. you are right to go for it.
1.Alibaba
2. Made in China
3. Ali express
3. Ebay

Don’t try . Kikuu.
Unaweza kutumia sanduku la post lako kupata bidhaa utayoagiza au kutumia watu hapa chini

Shipping agents
1. Silent ocean
2. Agiza
3. Target
4.Express cargo
Wote wana ofisi mjini
Why Kikuu?? Mimi niko Bukoba na nimeagiza vitu zaidi ya mara kumi kupitia kikuu na vimefika ndani ya week 2 mpaka 3 (maximum)
 
Kikuu wako.bei ghali sana nimeshaagiza sana nao sio kwa biashara hutapata faida labda kwa ajili ya mtu binafsi
Kuachana na bidhaa.. mara nyingi suppliers wa kikuu wanaishiwa product wanafosi product feki ila kwa bei ile ile.
Sasa wewe endelea na kikuu..
Mimi naeleza kwa mtu anayehitaji vitu vya uhakika na vile roho itapenda.. atumie nilichomshauri sasa na wewe shauri yako usikilizwe😂😂😂😂
 
Sasa muongozo gani unataka?
Kama huamini mtu. Zipo hizo firm nimeandika hapo. Watafute utapata mzigo wako popote unapotaka kutokea. Hapo hizo kampuni ni kuwasiliana nao. Moja wapo anachukua mizigo hata uturuki, Uk na china.. wapo wa china tu. Sasa unaogopa kutapeliwa na thread imeshajibiwa.
Watanzania wengi njaa wametanguliza mbele sana tena hiyo ipo common tu.

Sasa nitajaribu kuwasiliana nao ili nione nitaagiza kitu gani chenye thamani ya kawaida halafu nione mrejesho wao.
 
Ndugu ubinadamu haupimwi hivyo. (Kwa level ya ubinadamu) .. mchina anaweza kukutumia kitu mara mbili safi kabisa mara tatu akakuletea malonya. Hizo kampuni inakua uhakika kwako kwasbabu wao kazi yao nikukuletea kitu kile unachohitaji kutoka sehemu unaotoka mzigo wako. Ila nisieleze sana. Jaribu kwanza.
 
Kama unamoyo wa kusubiri 35 days mpaka 45 and sometimes 60 days .. you are right to go for it.
1.Alibaba
2. Made in China
3. Ali express
3. Ebay

Don’t try . Kikuu.
Unaweza kutumia sanduku la post lako kupata bidhaa utayoagiza au kutumia watu hapa chini

Shipping agents
1. Silent ocean
2. Agiza
3. Target
4.Express cargo
Wote wana ofisi mjini
Safi
 
Back
Top Bottom