are you sure?
STRAIGHT KWENYE HOJA!...(chakachua nikufabriketi..)
-
mfano wa pili
-akiwa na umri wa miaka 32,asprini huyu huyu wa jf...
Mimi nilidhani kwamba kwa mtu ambae ana umri mkubwa kidogo ''akiachwa'' hataumia sana ukilinganisha na yule mwenye umri mdogo....Kuachwa ni kuachwa,kama mtu ulimpenda,ukamweka kwenye akili yako na pengine ukafikiria future nae lazima uumie haijalishi una miaka mingapi au hata umeachwa mara ngapi????Moyo ni ule ule,haugeuki kuwa jiwe umri unavosogea.......
Kinachotakiwa ni kujipa moyo na kusonga mbele ukimuomba Mungu pia,yawezekana hukupangiwa hao uliokutana nao wakaondoka.😛lane:
habari zenu mabibi na mabwana??....
vipi mnashiriki walau mlo milo mitatu kwa wiki na familia zenu?
vipi mmeona matokeo mazuri ya hiyo kanuni?.....
ahsanteni sana mabibi na mabwana...
nasikitika kwamba hujui maana ya MFANO...[/QUOTE]Babu tafadhali kanusha madai haya upesi na ukikaa kimya tutashtukia jambo
ahsante sana!....
Nimeipenda hii kwanza....kwa pilika zetu ambao muda mwingi mchana tuko kazini hili la milo mitatu siku za kazi ni gumu.
Ila milo miwili yaani wa usiku na asubuhi ndilo huweza kulifanya kwa mafanikio huku mchana ikishikwa na pilika za mume kazini, mke kazini na mtoto/watoto shuleni
Ni kweli maumivu na umri vinaendana...
kwa mfano mtu mwenye umri wa miaka 22 kama mfano wako maumivu yake ni mkubwa lakini sio sawa na mtu mwenye, say miaka 37. Sababu ni nini, huyu mwenye miaka 22 bado anajua anao umri wa kumtosha kuweza kukaa na kutulia na kujipanga tena hata kuja kupata mwenza wake wa maisha. Miaka 22 bado ni kijana mbichi na wakati wowote kwake ni rahisi kupata binti chini ya umri wake na kuanza nae mahusiano mapya
Kwa MTAZAMO wangu ugumu huanza kama kuachwa kutatokea kwa mtu mwenye miaka zaidi ya 30 na ambae tayari alishaweka mambo kwenye pipe na kuwa tayari kumuoa au kuolewa na mwenza wake.
Lakini pia MTAZAMO wangu unanisaidia kufahamu ya kuwa wanaoathirika zaidi ni ladies wakiwa kwenye umri mkubwa maswali mengi wanayojiuliza
Mimi nilidhani kwamba kwa mtu ambae ana umri mkubwa kidogo ''akiachwa'' hataumia sana ukilinganisha na yule mwenye umri mdogo....
Mimi nilidhani kwamba yule mwenye umri mdogo anaumia zaidi kwakuwa anaendeshwa na hisia zaidi....
ahsante sana!....
kwa hiyo conclusion ni kwamba yule wa 22yrs na yule wa 32 yrs ikitokea wote WAKAACHWA NA WAPENZI WAO WA KWANZA MAUMIVU YATATOFAUTIANA,si ndivyo?
sasa kwa kifupi niambie ni nani anaumia zaidi?
Aiseee nahisi machungu yanatofautiana,
Mfano mwingine zaidi, labda mimi ni msichana nimejitunza na kuishi kwa uaminifu mpaka nikafikia umri wa miaka 25, 26. 27. Ni kiwa na malengo kwamba naomba atakaye nijua kwa mara ya kwanza ndo awe mume wangu. Au sitafanya mapenzi mpaka nimepata mume amenioa.
Katika umri kama huo unakutana na lijamaa linakuchakachua, baada ya kujiaminisha kwako asilimia zote kwamba atakuoa, mazingira na wakati vinachangia unajikuta umeliamini halafu linakukimbia.
Aisee kinauma, bora ingekuwa huko kwene 18,19, 20, huko utajifariji ni utoto, na ujana tu.
Ukweli ni USIOPINGIKA ni kwamba kila mmoja anaumia
Nadhani cha msingi hapa ni magnitude ya maumivu kati ya hawa wawili.
Obviously, kwa mwenye umri wa miaka 32 ataumia zaidi na hasa kwa kuzingatia ya kuwa huu ni umri unaomsukuma mtu kuwa responsible, sasa kama umeshajiandaa kuchukua majukumu, umeweka mambo yako sawa...
kwa vyoyote vile huyu wa 32 ataumia, wa miaka 22 still anajiamini kuwa ni mbichi na hawezi kukwama na hata kama itamchukua muda bado atakuwa yuko kwenye perfect range.
Yani.........hahahaa hahahaa hahahaaa.Aiseee nahisi machungu yanatofautiana,
Mfano mwingine zaidi, labda mimi ni msichana nimejitunza na kuishi kwa uaminifu mpaka nikafikia umri wa miaka 25, 26. 27. Ni kiwa na malengo kwamba naomba atakaye nijua kwa mara ya kwanza ndo awe mume wangu. Au sitafanya mapenzi mpaka nimepata mume amenioa.
Katika umri kama huo unakutana na lijamaa linakuchakachua, baada ya kujiaminisha kwako asilimia zote kwamba atakuoa, mazingira na wakati vinachangia unajikuta umeliamini halafu linakukimbia.
Aisee kinauma, bora ingekuwa huko kwene 18,19, 20, huko utajifariji ni utoto, na ujana tu.
Kuachwa ni kuachwa,kama mtu ulimpenda,ukamweka kwenye akili yako na pengine ukafikiria future nae lazima uumie haijalishi una miaka mingapi au hata umeachwa mara ngapi????Moyo ni ule ule,haugeuki kuwa jiwe umri unavosogea.......
Kinachotakiwa ni kujipa moyo na kusonga mbele ukimuomba Mungu pia,yawezekana hukupangiwa hao uliokutana nao wakaondoka.😛lane: