Kuachwa kusikieni tu!

Kuachwa kusikieni tu!

Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume wengi tunaitumia yani unakuwa na wanawake zaidi ya mmoja inaweza ikawa 3 au 4 ili mmoja akizingua basi pengo lake unaziba fasta!

Asee niwe mkweli hii formula ni kweli nzuri lakini kuna wanawake wengine mapengo yao kuzibika inachukua muda hata kama unao madem 10

Kuna pisi moja toka juzi haipokei simu, nikimtext anasoma tu then hajibu chochote hasemi shida nini yupo kimya tu na ndo nilimpitisha kwenye mchujo mkali ikiwezekana mwaka huu nimuoe lakin ghafla kanibadilikia kama sio yeye vile nikikumbuka zile ahadi na moments tulizo practice pamoja dah asee

Ukweli ni kwamba hata uwe na madem 100 kuna yule mmoja ambaye akikuzingua asee lazima ulale na viatu kidogo kabla hujarudi kukaa sawa dah!
Mmh mbona huyu demu ni kama huyu anaenikaushia na mimi manake nna wiki sasa nimemtumia msg 3 hajajibu hata 1. Sema mimi kwangu hana kipaumbele so namimi nimempotezea sijataka kuharibu brand
 
Back
Top Bottom