Kwa akili timilifu, kuachwa na kuacha kwenye mahusiano ni jambo la kawaida. Kwa ufupi sana, ukiachwa achika. Usilielie kama mbwa koko kakosa mtaji wa mzoga!!
Vijana wa hovyo! Unakimbilia mapenzi kwenye Mji wa kutafuta pesa! Unafanya vitu kinyume nyume, stop chasing after girls start attracting them! Tafuta pesa!