Kuachwa kunauma jamani

Kuachwa kunauma jamani

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,191
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.

Naombeni ushauri wana JF.
 
kubali tu yaishe ndiyo viumbe hawa .. wewe hukuona dalili za kuachwa? wala usilazimishe mwache aende tena mwache kabisa wala usijutie hata kidogo mshukuru Mungu kukuepushia ushwetwaini wa huyo mwanaume .....

kuumia itauma ila mwache nasema tena mwacheeee kula raha bibie wala usiwaze....

tena mwambie sikupendi
 
nilijua tu lazma utaongea hvyo.
 
kwani ulikua huna kidumu...

akufanye wewe
avatar36740_6.gif
 
Dogo usikate tamaa, maisha ya mapenz ndivyo yalivyo.
Tatzo kinachokuumiza uliweka % zote kuwa mtaishi pamoja wakati huo mkakati hamkuupanga.

Hukustahili kumkabidhi moyo wako wote ilihali hamna maafikiano yoyote juu ya ndoa.

Chukulia n hali ya kawaida funga mkanda tembea mbele. Maisha n matam lakn ni mafupi, usijipe stress bure.
 
ndiyo unataka nimpe moyo wa uongo kwamba ajipendekeze au alazimishe au alielie hakuna hiyo kitu ukiachwa tafuta njia nenda unakuwa na alternative ya haraka sana

lakn huu moyo wa kudis wanaume haukuwa nao toka mwanzon sjui umeutoa wapi?
 
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wamiaka miwili lakini alikua aniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu akajibu ninamsichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.Naombeni ushauri wana JF
Ushauri wa nini tena wakati amekwisha kujibu live kuwa ana msichana mwingine. Wewe lala mbele,otherwise utaendelea kuwa mchepuke wake,
 
Clear statement.......... alikuwa anapunguza kidumu alihofia kitajaa......

pole sana
 
lakn huu moyo wa kudis wanaume haukuwa nao toka mwanzon sjui umeutoa wapi?

nilikuwa najitahidi kuficha ila siku zinavyozuidi kwenda naona unalipuka na unakuja kwa kasi kwa namna navyo yaona maovu yenu yanaongezeka
 
Back
Top Bottom