Kuachisha kunyonya

Joined
Apr 29, 2018
Posts
22
Reaction score
6
Habarini wanajamii wenzangu naomba mnisaidie njia sahihi na rahisi ya kumuachisha mtoto kunyonya
 
Huwa ni taratibu, usifanye kwa ghafra huku ukimzoesha taratibu vyakula vingine mpaka anazoea...angalizo umri uwe muafaka sio kwa matakwa ya baba mtoto kwa kumisi kwake mnyonyo!...
 
Kwa kawaida ni miaka miwili" ukiona bado anang'ang'ania nyonyo fanya hivi:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…