Kuachilia na kusonga mbele maishani

Kuachilia na kusonga mbele maishani

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,442
Reaction score
12,715
Baadhi ya watu wanaamini kushikilia huleta nguvu. Wakati mwingine, nguvu ya kushinda ipo katika kuachilia. Huwezi kuvuka bahari kama unaogopa kuacha ufukwe. Mlango mmoja unapofungwa, mwingine hufunguka.

Lakini mara nyingi tunatazama sana mlango uliofungwa, tunashindwa kutazama uliofunguliwa. Yaliyopita ni kama nanga.

Unaweza kuendelea kuibeba, au unaweza kuikata na kusafiri kwa uhuru... Mjusi na tafakari.
 
IMG-20260205-WA0044.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom