sanaaNlichojifunza tu ni kuwa nkiambiwa stak mara 3 bhas tunabak tu kuwa friend wa kawaida. Ila kuachana kwa aman
kuna raha yake aiseee.
Aiseee yan hapa kuna x wang. Nachat nae yan ningekua karbu ningekumbushiwa enzi hzo.sanaa
Me tukiachana urafiki tuwaachie nyuki. Sitaki urafiki wala tusijuaneNlichojifunza tu ni kuwa nkiambiwa stak mara 3 bhas tunabak tu kuwa friend wa kawaida. Ila kuachana kwa aman
kuna raha yake aiseee.
Dhuuuuu Pole rafiki umepitia. Mengi makubwa paspo ww kupendaKubaki rafiki ni mpaka vidonda vya moyo vipone kwangu mimi
hahaha ila kuna msemo unasema:Aiseee yan hapa kuna x wang
Nachat nae yan ningekua karbu
Ningekumbushiwa enz hzo
Yan hata mtu huwez jua
Kama mlikua mnashera shuka
Moja
Dhuuuuu mkuu kwan una rohoMe tukiachana urafiki tuwaachie nyuki. Sitaki urafiki wala tusijuane
Hata nilikutana na mtu aniambie anashirikiana na ex wake mmh nitaweka?hahaha ila kuna msemo unasema:
"Kama wapenzi wakaachana alafu wakendelea kuwa marafiki kuna mawili either bado wanependana au hata hapo mwanzo hawakupendana."
hahaha ila kuna msemo unasema:
"Kama wapenzi wakaachana alafu wakendelea kuwa marafiki kuna mawili either bado wanependana au hata hapo mwanzo hawakupendana."
utaweka nn?!!Hata nilikutana na mtu aniambie anashirikiana na ex wake mmh nitaweka?
basi hapo mnakua hamjaachana mpo break time tu
Haa haa haa aiseee
Kuna mtu ukiwa nae yan 24/7
Unarlux
Sasa cha ajabu mnaachana
Kwa ktu kidogo tu