Siyo kuwa na mawazo hasi kila siku, pengine kuna sababu ambayo si kuwa hakupendiAisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mwache aende na jipe muda kupumzisha hisia... Angekuwa bado ana nia nawe asingefanya hayo afanyayoAisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mmmh miaka mitano ndomingi? Unako kuja nipagumu kuliko unako toka ukikua uko kwetu wanavituko zaidi ya kublockia simu.....Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
uyo jamaa ameshaoa.Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
Mkuu huyo hakupendi tena huo muda wako bora ufanye mambo mengine hakunaga mapenzi siku hiziAisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum. Nafikiria kuachana nae kwa kumblock kila sehemu, kwa wenzetu wanaita 'ghosting'. Je wakuu nitakua nafanya sawa kama mtu hanitafuti hadi akiwa na shida. Yani level yake ya inconsistency imekuwa too much. Wadau naomba ushauri wenu
ukishajiingiza kwenye mapenzi mawasiliano ndio nguzo tena hasa mapenzi yenyewe yakiwa ya mbaliMtafute muonane uso kwa uso, muwekane kikao!pia
Sikiliza moyo wako unakuambia nn!!
Chukua muda wa kuzipumzisha hisia
Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati ulipokuwa unamhitaji sana Mapenzi yanaumiza mapenzi yanatesa lakini ni muhimu kuangalia ulikotoka...www.jamiiforums.com