Mkuu usichoke kuchangia pato la taifa kupitia kodi, nchi bado inakutegemea. Sasa bia zitanywewa na nani?Imekaa poa mkuu
Kuacha sio Issue,Issue ninani una muachia?Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi.
Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza.
Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.
Huwezi kuacha tungi kwa nguvu zako. Soma uzi huu hadi mwisho, utaiona njia rahisi kabisa ya kuacha pombe.Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi.
Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza.
Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.