Kuacha kunauma jamani! Kwani inawezekana kumrudia mpenzi uliyeamtamkia kumuacha?

Mrudie tu! Mwambie nlikuwa nakutania beby mweh!! Sasa ole wako asikurudie utaliaje! Maskini wee mapenzi haya mweeeeeeeeeeeh!!!!
 
ha ha ha roho ina kutu hii
aaah inaboaga sana mtu kutishiana tishiana utadhani roho ya mwenzio umebeba wewe
nishawahi kutishiwa kuachwa kisa nimeadd jamaa 1 facebook alikuwa ni rafiki tu
nikaijiwa juu ooh haiwezekani huyo awe rafiki ako kelele nyingi kishazoea akiwaka nasema sorry
siku hiyo nilichefukwa akasema mi naomba tuachane nikamjibu poa maisha mema
baada ya siku mbili dume zima linakuja linalia na kamasi juu...
mi naomba nawe usikubaliwe tu kwakweli ha ha ha

aseeeeeh!!!!!!!!!

ha ha ha ha ha ha!!!!!
 
Salam za dhati kwenu wakuu,

Nimerudi sasa toka lile swala la koo langu kushambuliwa na wadudu wakali ilipunguza kasi ya kutembelea jukwaa hili kwa sababu mapenzi yote yalikuwa JF Dokta.

Turudi kwenye mada, hivi jamani ni halali mke kumuachia mdogo wangu anifulie nguo wakati mimi nipo? Maana mdogo wangu wa kiume niko nae hapa nyumbani, ila ndo hivyo mke kamgeuza kuwa mashine ya kufulia nguo na kuchota maji.

Nawasilisha


Jf topic za uongo zinazidi juzi unasema una mke leo tena gf. Wachukuliwe hatua watu kama hawa.
 
mimi n mgen kdogo hum ndan uwaga naptapta tuu. lkn huu uzi umeakis yaliyonikuta last weekend chuon,nlimuacha lkn uvmiliv ukanishnda nkaenda kuongea nae jana ila km anazngua vle!!! Ila imenigusa utadhan aliniona mm ni kit gan kimentokea.
 
Jaman wala msimshangae mwenzetu huyo! Hata kwa mtu anayeacha huwa nafsi inamuuma hasa pale anapomkumbuka! Kama mtu umekaa nae kwenye mahusiano naye muda mrefu ukimuacha lazma uumie japo inahitaji kujikaza! Ila anayeachwa ndiye anayeumia zaidi.
 
Unamrudia kwa kipi kipya mtu ambaye umempa mkono wa kwaheri bac huna msimamo na maamuzi yko na wajaabu mno utakuwa hujiamini na hii ni kujiendekeza hmna kpya ukiamua amua kweli sio unasema nyama umeacha kula hlfu mishikaki ikja mate ynatka
 
afu wewe hili jina lako!! Eti xsiiii!! Ha ha ha ! How are you meeen!!

Hahaa...ai am faini, haw a yuuuu tuuuu mai sista #munkari ? Haaha ulipotea wapi?au babu mlinzi ?hahhha jina linatamkika"sheyshe" yaani itabidi nifungue tuition ya kulitamka.hahaaa haa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom