Kua uyaone

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Mke/mume mwema hutoka kwa Mungu, wapi?,hatujui bt kwa MUNGU Hiyo ndo imani yetu...ok,kwanini wanaume wengi wa umri 45yrs na kuendelea akiwa kwenye umri huo akiachana na mke wake tu...basi hakawii kupata Pressure,kisukari nk,haswa wanaume...ni kwanini?HASWA SABABU YA KUACHANA Ikiwa ni mtafaruku wa kimapenzi. nimeona mifano mingi sana....hata kazini kwetu wapo,bt akifanya hayo early stage of 30s hakuna effects.kwanini?kwa mwanamke huwaza tu hela kama hafanyi kazi,kama anafanya kazi hawezi kupata pressure/kisukari nk, huziba fasta gap moyoni mwake by any means.
Mume/Mke mwema hutoka kwa mungu wapi?popote hata kwenye ndege/daladala, hata kama mcharuko atapata wa kwake tu.....
maoni yako na uzoefu hata wa kusikia na sababu.
 
kumbe we ndo umetafsiri hivyo hiyo kauli ya mme/mke hutoka kwa mungu? Ulichoandika Ni sahihi kutokana na
 
kumbe we ndo umetafsiri hivyo hiyo kauli ya mme/mke hutoka kwa mungu? Ulichoandika Ni sahihi kutokana na
hiyo si tafsiri ya mme/mke hutoka kwa mungu,hiyo ni chagizo,au msemo/ni kibwagizo tu cha habari,hutoka kwa mungu kila mtu anajua hili halihitajo kufafanuliwa,unachotakiwa ni kutoa maoni juu ya hio mada tajwa...inategemea wewe unataka kuoanisha vipi kuleta maana ambayo sisi tutakuelewa,wewe mchangiaji ndo tunangoja maoni yako
 

Kakae sehemu iliyotulia halafu uje tena.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…