Kua uone mixtape by kings "Arusha rappers"

Kua uone mixtape by kings "Arusha rappers"

Navy seal soldier

Senior Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
151
Reaction score
278
Guys heri ya Christmas na mwaka mpya,
Wale wapenda hip-hop kama Mimi especially underground hip hop kuna mixtape inaitwa kua uone ilikutanisha rappers underground wale wa Arusha wakina Raff mc,pacha na sight more naitafuta sana mwenye nayo naomba afanye kushare.
#Hip hop
#knowledge and movement
Merci"
 
Kua uone wanavyokula nchi kua uone wanavyotembea nusu uchi. Kuna sehemu anasema ukikua utayaona mengi utajifunza kuna kuishiwa na kuweka bond......

Mkali hizo ngoma download boomplay app alafu jisajili ingia tafuta "Kings mamluki" utapata wimbo unaotaka
 
Barikiwa Sana nakula Ngoma hapa ni noma
 
Raff mc
Sight more
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom