Kua single kuzuri sana

Wapo walioapa , hawatopenda milele, wakarudia yaleyale,,,,by mwasiti
 
Nendeni mkaishi nao kwa AKILI ndivyo alivyo agiza Mwenyezi Mungu. "TUISHI NAO KWA AKILI"
 
hii nii kweli...wanawake wana raha yao lakini kama huna mwanamke mwelewa ni adui wa maendeleo.
 
Naona umepata wafuasi wengi sana, jiandae kuwa mwenyekiti wao wa chaputa.... Ila tahadhari mpige nyeto kwa ustaarabu sio mnagonga mpaka mnaichosha misuli ya uume
Karibu kwenye ulimwengu wa "i dont care".

karibu chamani
 
Pole sana mkuu, niliwahigi kupata vidonda vya tumbo kisa mwanamke
 
Sorry nawezaje kupost ishu humu maana mm ni mgeni sina wenyeji sana;nisaidieni wapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…