Ku unlock password or pattern iliyosahaulika

Ku unlock password or pattern iliyosahaulika

Hosea alute

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Jaman habari zenu!.nimepata taitizo kwenye SMU yangu Tecno N8 niliweka pattern afu nimeisahau sasa naomba mnisaidie jinsi ya kufix hili tatizo .kwa njia yeyote iwe program au techinc nyingine.
 
Linawezekana tafuta wajuzi watakusaidia

Liliwahi kunitokea mshkaji alinisaidia ikatoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom