Habari wana JF,
Nina decoder ya Ting ya zamani ambayo haitumiki kwa sasa,nauliza kama kuna uwezekano wa utundu wowote wa IT kufanyika kuifungua hizo codes za Ting iwe free kutumika kwa dish za kawaida za free to air station.Nitashukuru kwa msaada.
Dennis