nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 153
- 163
Wakuu msaada kwa anaeweza kunisaidia maujanja ya ya ku unlock router hii ili niweze kutumia line zote, msaada wana teknolojia tafadhali
Uko wapi? Kuna software inaitwa dc unlocker ila mimi huwa natumia nckdongle ku unlock simu,modem router.
Uko wapi? Kuna software inaitwa dc unlocker ila mimi huwa natumia nckdongle ku unlock simu,modem router.
Jaribu ila wakati mwingine huwa inadunda kutoka na security.dc unlocker ni uhakika ndo nataka niijaribu hapa