Ku-root ndio nini jamani

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Hbr wakuu naomba kuuliza kila siku naona humu watu wakiuliza namna ya ku root simu zao ila mm leo nauliza ku root simu ndo kufanya nn simu yangu ni tecno m3
 
Mizizi
 
Kabla huja anzisha thread mpya kuwa na mazoea ya kutafuta ndani humu,hilo suala lilishajadiliwa sana humu!
 
Unadhani angelikuwa anajua kuwa there is such information on the web angeliuliza? angalia post #22 mwenzako kamjibu vizuri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…